Looking for God fearing husband who is ready to settle

Then kwanini uumie na kuanza kunibully hata hunifahamu,inaonesha una stress huna pa kuzitolea.aliyekwambia 30 ni stress nani???30 ni stress kama huna maisha.gera out here
[emoji3][emoji3]
Nilijua tu hili neno stress utalisema mwenyewe bila mimi kulisema. Na wala sitalirudia tena kulitaja.
 
Sifa

28years old female
Degree holder
Polite and very humble lady
Employed
Single With no children

Status: Ujaolewa unatafuta mtu jamii

Either :

1. Chai - Tepeli.
2. Una mapungufu sana.

Nakuombea yamtokee dada yako alafu uevaluate mapungufu yake
 
Nilijua tu tutafika huku, maana ushauri wa ukweli haujawah kua mtamu.

Ngoja niendelee kuchochea kuni, tutamjua tu mwenye stress..
Wee nanii.., lete kuni hizo na hicho kidumu cha petrol hapo..
 
Wabongo mmejaa negativity[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].iam not a teenager,msubirie basi niwaletee mrejesho.alafu bora muda mwingine kukaa kimya sio lazima kucomment negativity na kuproject fear zako kwa wengine.
Hizo negativity na fear ndio zinahitajika humu kuliko kitu chochote....umejiunga ijumaa ya wiki iliyopita nina almost miaka 10 Jamii forum ninajua ninachokwambia.
 
Mkipataga muwe mnaleta mrejesho kwa sisi wapiga maombi wenu,
Tusiwe tunaendelea kuwaombea Mahitaji ambayo yamepata suruhu tutamchanganya mpaji!
 
Iam aware of that,it is already a calculated risk
Mithali 14:12 inasema,
"Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti."

Unaweza ukadhani kwamba uamuzi wako ni sahihi,lakini frankly sio.
 
Ungetaja na bei ingependeza humu tutawaona wa aina yenu kwa maandiko tofauti tofauti na tutaendelea kuwapokea najua unatafuta rizki dogo janja
 
Hizo negativity na fear ndio zinahitajika humu kuliko kitu chochote....umejiunga ijumaa ya wiki iliyopita nina almost miaka 10 Jamii forum ninajua ninachokwambia.

Negativity na fear ndo zimenifikisha nilipo.time to take risk
 
Haijui jf huyu humu kuna watu wanakusorora mpka unajiona kenge tu na kingereza chake cha kuunga unga😂😂😂
 
Kwa hivyoo vigezo nadhani paroko wangu wa izumangabo anakidhi vyote sijui atakufaa! 🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…