Looking for investor

Looking for investor

crak

Member
Joined
Apr 6, 2011
Posts
37
Reaction score
5
There is a certainer plot near DUCE UNIVERSITY, we are finding the investors who can invest on that place,for more information contact me by the following number 0712 561443
 
"Certaine"r plot ndio nini? Labda uki elaborate kidogo, watu wakaelewa vizuri zaidi unaweza kupata interests humuhumu
 
Mkwe njoo u-invest kwangu kwa kiswahili,lol!
Afu nna salamu zako za krismas kutoka abroad ya mlandizi

hehehe! Nipe vigezo vyako kwanza.
United states of mpwapwa wanasema utakuja lini?
 
Unataka kunifanya fulani kwenda kwa investor kusainia mkataba hotelini! Wewe ndo uje huku umang'atini. Nna mbung'o wengi sana shambani, ulete mashine za kukamua maziwa.
hehehe! Nipe vigezo vyako kwanza.
United states of mpwapwa wanasema utakuja lini?
 
sijaelewa jina lako ni Crack ile ya mpasuo au ni crak mpwa? ila the investor mbona hata wa kiswahili wanaweza siku izi?
 
Back
Top Bottom