Looking for job

Looking for job

Dine

Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
57
Reaction score
6
Nina astashahada ya kilimo na mifugo natafuta kazi popote hapa tz kama kuna mtu anafahama wapi nitapata ajira anipm
 
Rafiki si umeona hapo juu ktk matangazo kuna shamba segerea! U have what it takes changamka ndugu!
 
Poa ngoja nijaribu bahati yangu katika hilo shamba huko segerea
 
Kwa elimu yako ulitakiwa ujiajiri kwa kilimo
Watu wamesoma udaktari na wanakimbilia kulima
wewe mtaalamu wa kilimo unataka ajiriwa.
OTIS
 
Back
Top Bottom