Looking for Kenya

Looking for Kenya

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917
Qualified nations to #CHAN2020

Burkina Faso
🇧🇫

Cameroon
🇨🇲
(hosts)
Congo
🇨🇬

DR Congo
🇨🇩

Guinea
🇬🇳

Mali
🇲🇱

Morocco
🇲🇦

Namibia
🇳🇦

Niger
🇳🇪

Rwanda
🇷🇼

Tanzania
🇹🇿

Togo
🇹🇬
(Debutants)
Tunisia
🇹🇳

Uganda
🇺🇬

Zambia
🇿🇲

Zimbabwe
🇿🇼

Tournament will be held in Cameroon.
 
Kenya level zao ni kufukuza digidigi na upepo. Kwenye soccer ni zero nyeusi.
Tanzania haina usemi wowote ule dhidi ya Kenya kwenye spoti: Kenya not only depend on running only. Talk of rugby, valley ball, boxing etc. Hata kwa mpira bado tuko juu yenyu!.
 
Tanzania haina usemi wowote ule dhidi ya Kenya kwenye spoti: Kenya not only depend on running only. Talk of rugby, valley ball, boxing etc. Hata kwa mpira bado tuko juu yenyu!.
Kha!!! Sijawahi sikia kenya kwenye boxing aka masumbwi. Kenya ni tepetepe. Mnachoweza kufukuza digidigi tu. Labda kwa mbaaaali rugby. Zaidi ya hapo ni slums za kibera.
 
Kha!!! Sijawahi sikia kenya kwenye boxing aka masimbwi. Kenya ni tepetepe. Mnachoweza kufukuza digidigi tu. Labda kwa mbaaaali rugby. Zaidi ya hapo ni slums za kibera.
Unabisha bila ushahidi. Angalau unakiri hiyo ya raga kwa kudai eti tunajiweza kwa umbali. Nyinyi ni nini hata mnaweza ama mshawahi weza kwa umbali?. Robert wangila brought the first Olympic boxing gold medal in east and Central Africa. If not in Africa. Ni kwa mchezo upi nyinyi mnaweza dai kuwahi ibukia kidedea kwenye ukanda huu wa Africa Mashariki?.
 
😂😂😂😂
 
Is there any game Tanzania wanatushindaga kweli? Here we gave you a beating

Tuliwanyorosha 4 kwenye kufuzu CHAN tukawafurusha,
Tukawanyorosha tena CECAFA cup tukabeba kombe, mfungaji bora na Mchezaji bora.
 
Back
Top Bottom