Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenya level zao ni kufukuza digidigi na upepo. Kwenye soccer ni zero nyeusi.
Kwani ugomvi!? Tumewaachia kazi yenu ya kufukuza upepo endeleeni nayo.Hku afcon mkitoka kapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani ugomvi!? Tumewaachia kazi yenu ya kufukuza upepo endeleeni nayo.
Tanzania haina usemi wowote ule dhidi ya Kenya kwenye spoti: Kenya not only depend on running only. Talk of rugby, valley ball, boxing etc. Hata kwa mpira bado tuko juu yenyu!.Kenya level zao ni kufukuza digidigi na upepo. Kwenye soccer ni zero nyeusi.
Kha!!! Sijawahi sikia kenya kwenye boxing aka masumbwi. Kenya ni tepetepe. Mnachoweza kufukuza digidigi tu. Labda kwa mbaaaali rugby. Zaidi ya hapo ni slums za kibera.Tanzania haina usemi wowote ule dhidi ya Kenya kwenye spoti: Kenya not only depend on running only. Talk of rugby, valley ball, boxing etc. Hata kwa mpira bado tuko juu yenyu!.
Unabisha bila ushahidi. Angalau unakiri hiyo ya raga kwa kudai eti tunajiweza kwa umbali. Nyinyi ni nini hata mnaweza ama mshawahi weza kwa umbali?. Robert wangila brought the first Olympic boxing gold medal in east and Central Africa. If not in Africa. Ni kwa mchezo upi nyinyi mnaweza dai kuwahi ibukia kidedea kwenye ukanda huu wa Africa Mashariki?.Kha!!! Sijawahi sikia kenya kwenye boxing aka masimbwi. Kenya ni tepetepe. Mnachoweza kufukuza digidigi tu. Labda kwa mbaaaali rugby. Zaidi ya hapo ni slums za kibera.
No Egypt, Nigeria, Algeria, South Africa,,Senegal, Ghana,Kenya and other Great Nations.Kwani ugomvi!? Tumewaachia kazi yenu ya kufukuza upepo endeleeni nayo.
😂😂😂😂Unabisha bila ushahidi. Angalau unakiri hiyo ya raga kwa kudai eti tunajiweza kwa umbali. Nyinyi ni nini hata mnaweza ama mshawahi weza kwa umbali?. Robert wangila brought the first Olympic boxing gold medal in east and Central Africa. If not in Africa. Ni kwa mchezo upi nyinyi mnaweza dai kuwahi ibukia kidedea kwenye ukanda huu wa Africa Mashariki?.
Tuliwatandika Afcon na Cecafa. We nyamaza hapo.Kwani ugomvi!? Tumewaachia kazi yenu ya kufukuza upepo endeleeni nayo.
Is there any game Tanzania wanatushindaga kweli? Here we gave you a beating
Imekuingia hadi kicheko tuu ehn!.. 👊👊😂😂😂😂
Na AFCON 😁Tuliwanyorosha 4 kwenye kufuzu CHAN tukawafurusha,
Tukawanyorosha tena CECAFA cup tukabeba kombe, mfungaji bora na Mchezaji bora.