Looking for lifetime partner


Wazee changamkieni jimbo haya haraka.
Mwenye kufanikiwa kulitwaa jimbo hili ataenjoy mambo ya...ooo beiby...fac..k me har...d bby oooh yahh blaa blaa hahaha ngeli bhana😆😆
 
nahitaji mke wa tatu, kama unaweza kubadili dini, kusoma madrasa, kuingia msikitini, you are welcome.

my profile, Muislamu, 42yrs, mrefu, black, 10x kids, 5 x kutoka kwa wake zangu wawili, 5 x kutoka kwa wanawake tofauti tofauti sehemu tofauti za dunia.

tabia zangu: Mhuni sana, mpambanaji kwenye kutafuta hela, sina hela kiviile lakini najua kuzitafuta and hope kuwa tajiri siku isiyo na jina, mlevi na malaya pia, mizinga miwili ya "Jack d" usiku mmoja, sio mtu wakujali vitu vidogo vidogo, i dont care to be cared ( hilo wala usijali) but i know to care.

What you will enjoy: Kuishi na mtu ambaye yuko "real", kuishi free life, kupendwa and to be cared, kumpata mentor wa maisha yako.

nisivyopenda: mwanamke malaya, non-senses, mwanamke mlevi, mwanamke anayezurura tu bila mpango.

ninavyopenda: msafi, ujue kupika na kupigana mikasi tu, mengine usijali.

Karibu bibie.
 
Natamani nije pm ila naogopa toka siku ile nilipo mfuata mmoja mwenye uhitaji kama wewe akageuka kuwa askari polisi [emoji23][emoji23] sio kwa maswali yale , nikaishia kudelete convo na kumuunfollow
Acha uoga nenda mkuu, huenda ndiyo time sahihi hii ya kutoulizwa maswali mengi🤔
 
Mmmxxxiiieeewww! Nitolee laana zako hukoo!!
Hapo naona kabisa ushapigwa KO na mzabzab usingo utakuuua mwakahuuu!!
Wameanza kukutaja kwenye 3 mzuka..umekosea wapi?
 
Unatakiwa uniandikie barua yenye utetezi unaojitosheleza....why wehu wakutanie wewe na si wengine? Umelegeza wapi?
Barua tena😳😳 🤔🤔?? Madogo bange zao tu sio shida zangu mie!!
 
Usidanganya, kadri degree zinaongezeka na utamu u apungua. Tamu zaidi ni yenye dgree moja
Tamu zaidi ni ya class seven mkuu, ile ni kuku wa kienyeji kabisa, supu inakuwa nzito na nyama yake tam balaa.
 
Hatimaye nimepata rafiki kwa mara ya kwanza jf karibu sanaaa
 
Mimi nakutakia kila la heri, wengine tulipata humu hadi leo tunadunda. Sema siku hizi nasikia mnatinduana na kuachana "ju kwa ju "!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…