Looking for male partner 35yrs and above, HIV+

Looking for male partner 35yrs and above, HIV+

Mimi ni mama ninaetafuta mwenza wa kuishi nae.
Mimi ni mfanyabiashara na mkulima. Nina elimu ya chuo. Ni mcha Mungu.
Natafuta mume mwenye mapenzi ya dhati. Sichagui dini,kabila,elimu etc

Aliekuwa serious tuwasiliane
pole sana.
 
Back
Top Bottom