Looking for male partner

Plummie

Member
Joined
Aug 22, 2011
Posts
6
Reaction score
1
Mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 35,proffesional nimeajiariwa. Natafuta partner aliyenizidi umri, mrefu , prefably 170 cms and above, mature,financial stable.
 
Professional umeajiriwa ndio nini? Otherwise good luck
 
Mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 35,proffesional nimeajiariwa. Natafuta partner aliyenizidi umri, mrefu , prefably 170 cms and above, mature,financial stable.
nakubali kusoma hujui ila hata picha ya mgomea unashindwa kuitambua?
wewe 35 unataka finencial stable mkaka wa ova 35 utampata wapi??
mimi nakushauri ubadilishe tittle uweke:NAITAJI WA KUNIZALISHA
 
Kama haujui kutumia lugha ya kiingereza ni bora utumie kiswahili
 
mbona mnamshambulia!Tafadhal i'm here for u!uko wapi,ntakupateje!wait ntaku pm!but nina 35 too!
 
nakubali kusoma hujui ila hata picha ya mgomea unashindwa kuitambua?
Wewe 35 unataka finencial stable mkaka wa ova 35 utampata wapi??
Mimi nakushauri ubadilishe tittle uweke:naitaji wa kunizalisha
kwani wakaka wa 35 hawapo? Mbona wapo wengi tu jamani? Na financial stable ulitaka atafute legelege ? Gdluck mdada waje na cash flow zao kabisa na benk statment loh?
 
Duh majibu haya.. (yaani siasa hadi kwenye mapenzi..)

Kipenda roho kwahiyo yeye anachopenda ndicho anachotaka na kama mtu ana-qualify awasiliane nae.., hayo mambo ya lugha sidhani kama yatamsaidia kwenye hii pursue yake of happiness

Good Luck Plummie,
 
Kabra sijakukubalia naomba nijue professional yako, financial stability yako na sababu za kutopata partiner kwa umri ulionao mpaka sasa?
Mimi ninahivyo vigezo ulivyovisema nina 178cm hope ulimaanisha urefu, financial stability hujaspecify ni kuanzia millioni ngapi?
 
Usiwajali wanaokutupia maneno yakejeli kwani maneno yao ni kama maji ya moto hayachomi nyumba,afadhali wewe umesema unamtaka wako mwenyewe wengine wanasema sijui rafiki yangu mara jirani,utampata mwenye kheir na wewe mtangulize Mungu na atakujalia utampata mwenye kukujali anaekuheshimu na kukupenda kwa dhati.....
 
kwani wakaka wa 35 hawapo? Mbona wapo wengi tu jamani? Na financial stable ulitaka atafute legelege ? Gdluck mdada waje na cash flow zao kabisa na benk statment loh?

hahahah cash flow yangu inaonesha Closing Balance Cash & Cash equivalent -189,000, 000,000 TSH sasa sijui itakuwaje hapo
 
Mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 35,proffesional nimeajiariwa. Natafuta partner aliyenizidi umri, mrefu , prefably 170 cms and above, mature,financial stable.

DUUUH utakuwa umepiga mileage kibao, used ilembaya na huenda overhauls kadhaa zimefanyika.
 
Mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 35,proffesional nimeajiariwa. Natafuta partner aliyenizidi umri, mrefu , prefably 170 cms and above, mature,financial stable.
whats wrong with you women nowdays,umri ukikuacha tulia usaide nduguzo,hizi stress za ndoa bado mnazitaka tu,kwanza u're approaching to menopause..anyway good lucky
 
Mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 35,proffesional nimeajiariwa. Natafuta partner aliyenizidi umri, mrefu , prefably 170 cms and above, mature,financial stable.
Ukikosa kabisaaaaa....niPM ...
Otherwise mtafuto mwema!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…