Hahaha ujue unaleta utani wakati mwenzio nataka nipate mke wangu wa maisha?Ungeweka na kapicha kako ingependeza zaidi
Amen Mungu amsaidie apate mr right wake
Hahaha ujue unaleta utani wakati mwenzio nataka nipate mke wangu wa maisha?
Acha hizo maneno bana kuwa serious. Ujue honestly nataka MKE! NIOE NIFURAHIE MAISHA
Nikiwa kama mume lazima nihakikishe mke anapata huduma Bora na malezi mazuri ya watoto, kazi ni majaliwa tu ya Mungu. Pia kazi sio lazima kuajiriwa.Afadhali kigezo cha kazi hakipo ningekosa mume mm
Eeeh Mungu akubariki sanaNikiwa kama mume lazima nihakikishe mke anapata huduma Bora na malezi mazuri ya watoto, kazi ni majaliwa tu ya Mungu. Pia kazi sio lazima kuajiriwa.
Hata Mimi mume wako naweza nikaku-capacitate halafu mambo yakanyooka kwa manufaa makubwa ya familia ambayo Mungu atatubariki pamoja