Looking for "Mrs Right"

Looking for "Mrs Right"

Ungeweka na kapicha kako ingependeza zaidi
Hahaha ujue unaleta utani wakati mwenzio nataka nipate mke wangu wa maisha?

Acha hizo maneno bana kuwa serious. Ujue honestly nataka MKE! NIOE NIFURAHIE MAISHA
 
Sasa utajuaje labda mke nimeshapatikana!
Hahaha ujue unaleta utani wakati mwenzio nataka nipate mke wangu wa maisha?

Acha hizo maneno bana kuwa serious. Ujue honestly nataka MKE! NIOE NIFURAHIE MAISHA
 
Afadhali kigezo cha kazi hakipo ningekosa mume mm
Nikiwa kama mume lazima nihakikishe mke anapata huduma Bora na malezi mazuri ya watoto, kazi ni majaliwa tu ya Mungu. Pia kazi sio lazima kuajiriwa.

Hata Mimi mume wako naweza nikaku-capacitate halafu mambo yakanyooka kwa manufaa makubwa ya familia ambayo Mungu atatubariki pamoja
 
Eeeh Mungu akubariki sana
Utakua umeokoa jahazi linalozama
 
Back
Top Bottom