Looking for my better half

Looking for my better half

Leo tulikuwa na mjadala vijana wa kiume sehemu.Aisee inaonesha moja ya mambo ya hatari kwa sasa ni kuoa kwa mwanaume.

Nikiwaza na uzi wa juzi ulioletwa humu wa namna mwanamke amemfanyia mme wake baada ya mume kuumwa, I get worried indeed.
ukaona uje ulete kauzibe hapa mkuu?
 
Habari wana jf.Niko hapa kutafuta mwenza.

Im in my early 30's ,mkristo nina mtoto mmoja.Itapendeza kumpata mkristo pia na umri kuanzia miaka 34 ,na uwe na kipato halali.Ikiwa una nia karibu sana PM iko wazi.

Naomba kuwasilisha.
Noelia kumbe wewe ni single maza.

Ukaamua kuja na ID nyengine.

Anyway.........
Yesu Kristo aliye Mungu kweli,
Yeye Mungu juu ya miungu yote,
Yeye bwana wa mabwana,
Yeye Alfa na Omega,
aliye bwana wa mabwana,
mtuliza dhoruba na jemedari wa vita AKUBARIKI upate mume kama Mimi...!!

#YNWA
 
Ila JF bhana 🤣🤣🤣
 
Mbna ujasema jinsi
 
anatafutwa mwenza wa jinsia yeyote
Ngoja nisogee eneo la tukio[emoji12]
IMG_20210918_235422.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umri na kipato vimenitoa knock out
 
Noelia kumbe wewe ni single maza.

Ukaamua kuja na ID nyengine.

Anyway.........
Yesu Kristo aliye Mungu kweli,
Yeye Mungu juu ya miungu yote,
Yeye bwana wa mabwana,
Yeye Alfa na Omega,
aliye bwana wa mabwana,
mtuliza dhoruba na jemedari wa vita AKUBARIKI upate mume kama Mimi...!!

#YNWA
Nani kakwambia nina mtoto mmoja? Mume ninae, we endelea kuweweseka tu
 
Kuoa kidogo wanaume tunaweza kukuelewa baharia umepotea kidogo

Ila kuoa single mother utakuwa umerogwa kuoa mwanamke wa mwanadamu mwenzio
 
Back
Top Bottom