Looking for my future wife

Joined
May 22, 2017
Posts
1
Reaction score
0
Kama kichwa kinavyojieleza mimi ni kijana mwenye miaka 25 nimetoka kumaliza chuo kikuu kimojawapo hapa DSM, kwasasa nafanya shughuli zangu
binafsi ambazo zinaendana na fani niliyosomea chuoni wakati huo nikiwa nasubiria matokeo na ajira, nilikuwa natafuta msichana ambaye yuko DSM na ambaye anajitambua na mwenye malengo na maisha ya baadae.

Elimu yake angalau awe amefika kidato cha nne, umri asizidi miaka 25 dini yoyote lakini mimi ni mkristo kama utakuwa ni muislam basi awe tayari kuja kubadirisha kwani kikubwa nitakachohitaji kwa baadae ni ndoa baada ya kuridhiana kwa yeyote ambaye yuko tayari aje PM.

NB.. Kama hauna cha ku-comment basi ni vema ungepita tu.
 
Watakuja





Sent from ; men walioacha puchu tanzania
 
Mkuu toka form 1 mpaka college ujaona bado mwanamke wa kuoa?!! Ebu fungua mafaili yako ya nyuma kwanza maana ninvyokujua ujawahi kuwaacha mademu salama wote waliopita mbele yajo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko tayl namiaka 21nipo dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…