Looking for outgoer

Looking for outgoer

Dogo acha kutuaibisha wanaume wenzako. Kama shida yako ni mwanamke/msichana, nyoosha maelezo. Yaani unakuwa domo zege hadi kwenye maandishi!! Ukikutana naye live sasa itakuwaje!!
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hii ni sawa na mtu aliyechoka kufuga kuku sababu alikuwa anawala sana, akageukia kufuga paka ambaye atafuga kama pambo.
 
Back
Top Bottom