JituParaTupu
Member
- Nov 20, 2008
- 92
- 9
Wakuu,
Natafuta "Part-time" job inayohusiana na Inventory Management. Ningefurahi sana kama ningepata katika kampuni ya TBL hasa wakati wa stock-taking exercises (Perpetual or annual) ambayo niko mahili nayo sana. Niko "literate" na package ya SAP ambayo nadhani TBL wanaitumia. Nataka msaada wenu ili niweze kuongeza kipato kidogo wakati nitakapokuwa kwenye likizo yangu ya mwaka.
Natanguliza shukrani na najua hapa jamvini pana kila msaada na najua nitasaidiwa. Asanteni.
asee mkuu nasikia pale TBL hakuna kunywea kwenye glass, yani unafungua bomba na unamimina kwenye bilauri!!, kitu cha motooo.
Inventory Management
Hii Kazi anaweza pata hata Muhimbili Hospital ama kwenye Kambi ya Jeshi Kule Mbagala, ila mkuu anataka tu TBL!
ama kwenye Kambi ya Jeshi Kule Mbagala
Mpwa nina utaalamu kama wa Jeetu Para tupu i mean invetory management, unamjua mtu anayeweza kunifanyia mipango kwenye kambi hiyo na mimi nipige part time pale, nasikia kuna deal sana.
Mpwa nina utaalamu kama wa Jeetu Para tupu i mean invetory management, unamjua mtu anayeweza kunifanyia mipango kwenye kambi hiyo na mimi nipige part time pale, nasikia kuna deal sana.
Nitakuja jina la kamanda mmoja, mtalaam wa milipuko!
Mkuu huyu jamaa tumshauri atumie jina ulilompa, hilo la kwake labda akafanye inventory management pale Muhimbili National Hospital Mortuary.
teh teh tehShukran in advance mpwa, sasa inabidi nianze kujifua kwa kutembelea pande za kunduchi au tegeta kwenye machimbo ya kokoto maana huko si ndio kuna milipuko ya baruti?