Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kitu kimoja tofauti majina tuHivi gambling na betting ni kitu kimoja?
Hakuna urahisi kwenye Betting, hata ukacheza Odds 1.20 unapigwa tu!Ukiwa na nidhamu betting ni rahisi sana. Chezo odds 2 weka 10k upate 10k ingine.
Ref mwindi yake 1 tu. Unamwinda 10 yeye anakuwinda moja.
Zile fixture ni ubabaishaji tu. Zako pale ni odds 2 tu.
Kazi njema.
Nop gambling unakua hujua out comes zake while betting unajua outcomes unachaguaNi kitu kimoja tofauti majina tu
Wewe umekurupuka hujataka kuipa heshima betting ukajifanya mjuaji Sasa hivi unalialiaHakuna urahisi kwenye Betting, hata ukacheza Odds 1.20 unapigwa tu!
Hakuna options ambayo sijawhi kuicheza lakini upepo wa kisulisuli utakupitia tu! Nimecheza shots on target, thrown in, corner, no Red card, over o.5 goal, na options nyinginezo unazojijua au ulizoambiwa kuwa ni lower risks lakini nimeona Betting ni ngumu Sana. Hizo options zote nimecheza kwa kuchagua timu chache na odds zisizozidi 2+. Siku ukiweka Pesa kubwa Unapigwa. Sasa hivi nacheza kwa Kwa kujifurahisha tu.
Nilianza kuweka kiwango kikubwa baada ya kula Laki 5, nikajiona nimepata mtaji sasa nianze kucheza options zenye low risks na odds chache chini ya Odds 2. Baada ya wiki Pesa yote ilirudi Kwa Muhindi nikabakia patupu.
Betting nadhan ina mgao na hizi timu. Ndo utaskia Haaland hayupo form,man city anapigwa na westhamWaliobuni betting, walihakikisha wanaweka misingi ambayo itakufanya upoteze kikubwa kuliko na unachopata(hii ni kwa majority).
Then wakaweka misingi ambayo minority wataweza kubahatika faida.
Angalia odds zinavyowekwa, hata ukisema uweke hela kidogo kidogo kwenye odds tofauti, lazima utapata kidogo kuliko ma ulichoweka.
Kanji alituliza akili kwenye hii michezo
Hahahaaa.Betting nadhan ina mgao na hizi timu. Ndo utaskia Haaland hayupo form,man city anapigwa na westham