chief1
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 1,418
- 1,449
It is possibleWhy am I not convinced that you are PhD holder?I don't know honestly
Kuna watu loyal class
Wanasomea mtaala wa british huko IST,ISM
halafu anatoka hapo anaenda zake kusoma ulaya au marekani
Hawasomi hizi elimu zetu za njaa njaa
Nina rafki angu dada wa kikanada leo ni birthday yake ya 31
Lakini mwaka jana kapata phd yake pale toronto university
Kwa iyo its possible akawa na phd