Looking for someone to share life with!

Looking for someone to share life with!

mimi nipo arusha bwana na ninapenda sana kuishi huku.kama dar ni kibiashara tu.
 
shosti kidawa bado ujapata waliowengi ni stori tu pole ila na swali mbona wewe ujasema kama ni mcha mungu?
FYI nenda kwa mwingira labda unaweza kupata..
 
Mume hapatikani kwenye keyboard. Kama vipi nenda kanisani ukatoe tangazo.
 
Uzuri tangazo linawahusu watumia keyboard na wala siyo keyboard yenyewe!
Kanisani huwa tunaenda kuabudu!
Pole kama limekukera!
Mume hapatikani kwenye keyboard. Kama vipi nenda kanisani ukatoe tangazo.
 
Back
Top Bottom