Looking for the competent sales and marketing personnel

Looking for the competent sales and marketing personnel

Zamazamani

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2008
Posts
1,869
Reaction score
787
Wadau,
Kampuni yangu inamiliki michezo mbalimbali ya watoto esp modern Jumping Castles kwa ajili ya kukodisha wanaoyahitaji.Sasa inamtafuta mtaalamu aliyebobea katika masuala ya sales and marketing ili aweze kututafutia masoko ya huduma zetu kwenye mahoteli ,playgrounds etc ambaye atakuwa tayari kufanya kazi kwa kujituma na kwa weledi mkubwa .....malipo ni maelewano...
Kwa aliye serious ani PM ASAP!!! WASICHANA/WANAWAKE WATAPEWA KIPAUMBELE ZAIDI!!!
 
Back
Top Bottom