Looking for two IT interns

Looking for two IT interns

I'm very interested naomba nitumie details kwenye aatumally@gmail.com

lakini jamani huko ku PM ndio nn? tunaomba kirefu chake

Ku PM.....Kumwandikia mhusika a Private Message! Ili uweze kufanya hivyo nenda kny ID ya jamaa, light click utapewa oprions nyingi....ikiwa ni pamoja na Sending Private message to .......!
 
Afadhali ndugu yangu Aljuniortz unajua kufuata maelekezo! Kula 5!

Nashangaa wadau waliotundika email zao hapa.....! Mtoa tangazo kasema kama upo interested or unamjua mtu anayefaa just m-PM? kwa nini watu huwa hampendi kufuata utaratibu uliotolewa....mnang'ang'ania ...nitumie details, mbona huweki further details etc.....why can't you PM the guy kama alivyoelekeza.....no wonder that's why huwa tunakosa kazi kwa sababu (partly) ya kushindwa kufuata maelekezo!

Mkuu I couldnt say more!

Sijui wabongo tuna tatizo gani...jamaa kaja hapa..anakwambia kama una interests..wewe mwandikie private messag akupe maelekezo. Then watu mnaanza kuanika email zenu hapa kwenye forum..wengine wanaanza kudai details...guys lets be a bit serious. Hivi mnafikiri kazi zinatolewaje? ndo hivyo..I as one, naona kabisa jamaa yuko sincere..sema tuu..sisi wabongo ni wabishi..hata kama kitu kiko wazi..

Harafu kunradhi..hii intern inataka mtu aliyesoma IT ..sasa kweli nashindwa kuelewa kwamba wasomi wa IT, tena wenye degree.. mmeshindwa ku-follow simple instructions alizotoa jama..mkipewa hiyo position itakuwaje? Jamani jitahidini...maana..ukishindwa maelezo marahisi kama haya..hata mbele ya safari jamaa atakumwaga tuu...Kama umesoma IT..reflect hicho kisomo chako basi....
 
I'm very interested naomba nitumie details kwenye aatumally@gmail.com

lakini jamani huko ku PM ndio nn? tunaomba kirefu chake

mbona we wa zamani sana, ulipotelea wapi?, duh!

Join Date: Wed Dec 2008
Posts: 1
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Credits: 19,810
 
am student from university of dar es salaam computing centre taking certificate of IT am i qualified?
 
nyie mliotoa mii email yenu hapa mnajua kusoma kweli?
 
Im interested please give me more details via this email jsimon85@gmail.com

could u pls give me the details via this waltenga@yahoo.com

thanx for the advert pls forwrd to me more details conern the post to my mail waltenga@yahoo.com
best wishes

Sasa sijui ushapata watu wa kukutosha? send mi details it@laureate.or.tz

Thanks for the advert....n sorry i made a mistake initially....if you could send more details to this email..jcmon85@gmail.com ..would appreciate it.

Please send me details at havijawa@gmail.com

Please send more details to "rastall20@hotmail.com" you may end up with a very suitable candidate with high and suitable qualifications

vipi Mfukunyuzi ntumie details kwenye raphsam2000@live.com au unicol in 0713 953337

Please send more details to gabro12@hotmail.com

I hope sijachelewa.Naomba nitumie nami pia hizo info. kwenye asdosi@hotmail.com

Im interested please give me more details via this email asdosi@hotmail.com

I'm very interested naomba nitumie details kwenye aatumally@gmail.com

lakini jamani huko ku PM ndio nn? tunaomba kirefu chake

Please give me more detail on this Via this Email: zedon646@yahoo.com

I'm keeping to hear from you.

Mbon hujaweka contact details,watu watawasiliana na wewe vp?contact me through akamanyusi@yahoo.com

zakiajuma24@yahoo.com or phone no 0717 428 451

nitumie name details zaidi via ravoxjr@yahoo.co.uk

Dear JF

Our organisation (one of the UN argency) is urgently looking for two interns from UDSM, DIT or any other college that is offering BSc. Computer science or IT to work with us for four weeks starting from early next month. If you are interested or you know someone to recommend just PM me.
area of competence(s)

  • Internet applications
  • MS Access
  • Website development


These two positions are for both genders.

Asanteni.

Ningekua mimi muajiri wote mgesha kosa kazi kwa sababu hamjui kufuata simple directions na badala ya nyie kuhangaikia kujua zaidi mnaategemea aliyetangaza ndiyo awachangamkie. Anyway wish all of you the best
 
Jamani msiwalaumu hawa jamaa, labda wame m-pm lakini wakaona jiii!!! Kama mimi nilivyoona jii wakazani pm zao hazijafika wakaamua wamwage ma email yao hapo.

Nkaamua niwe kimya.
 
Dear JF

Our organisation (one of the UN argency) is urgently looking for two interns from UDSM, DIT or any other college that is offering BSc. Computer science or IT to work with us for four weeks starting from early next month. If you are interested or you know someone to recommend just PM me.
area of competence(s)

  • Internet applications
  • MS Access
  • Website development


These two positions are for both genders.

Asanteni.
Further details would be helpful colleague.Ive a friend whose knowledge, initiative and ambitions would add value to your organization.
Get intouch my no is 0715978462
 
Someni kwanza na mtulie vijana. Msikimbilie kujibu tu wakati hamjui employer ametoa specifications gani ktk kuomba kazi hiyo. Poleni lakini,sio kosa lenu maana education system zetu +world financial crisis ndio hivyo tena.
 
Hiyo ni kazi ya moderator kuedit hizo post wengine wanaweza kuchukuwa hizo email address kwa shuguli zingine unajua hii ni open space ohoo -- muulizeni ally ulanga atawaambia robert alimfanya nini alivyoweka email yake
 
Hiyo ni kazi ya moderator kuedit hizo post wengine wanaweza kuchukuwa hizo email address kwa shuguli zingine unajua hii ni open space ohoo -- muulizeni ally ulanga atawaambia robert alimfanya nini alivyoweka email yake
wewe hata nikikupa email ID yangu hufanyi lolote......sana sana utakuwa unanitumia ma habari ya ku copy tu....
 
Back
Top Bottom