Looking for you

aicca !! Naona umeamua kuja na ID nyingine
 
we mcha Mungu mbona kanisani wapo wengi..? kuliko kutafutiza huku kwa wasiojulikana,..!!!!
sina hakika kwamba haujawahi kumwona mwanaume na ukavutiwa naye, kinachoku cost ni uoga wa kufunguka, mwisho wa siku unaamua kuingia mtandaoni ukidhani kwamba ndio kutakupa confidence ya kuji express....,

Be free, kupenda sio dhambi, chek chek huko kanisani kwako au kazini au mtaani, huku ukiomba ipo siku utakutana tu na atakayekufaa.

Ni ushauri tu
All the best
 
Msukuma unaitwa Aika????
 
Lazima awe mkristo mpendekoste ,, Je akiwa mkristo roman, Anglikana, kkkt, etc hafai???
 
Atakutana side mnyamwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…