Looking for you

Looking for you

aicca !! Naona umeamua kuja na ID nyingine
 
we mcha Mungu mbona kanisani wapo wengi..? kuliko kutafutiza huku kwa wasiojulikana,..!!!!
sina hakika kwamba haujawahi kumwona mwanaume na ukavutiwa naye, kinachoku cost ni uoga wa kufunguka, mwisho wa siku unaamua kuingia mtandaoni ukidhani kwamba ndio kutakupa confidence ya kuji express....,

Be free, kupenda sio dhambi, chek chek huko kanisani kwako au kazini au mtaani, huku ukiomba ipo siku utakutana tu na atakayekufaa.

Ni ushauri tu
All the best
 
Habarini wanajukwaa,

Kwa mara ya kwanza nakuja jukwaani apa, natafuta mwanaume ambae atakuja kua mchumba na baadae ndoa, Mungu akijalia, nimepitia mirejesho mingi wapo walifanikiwa humu juwaani.

Mimi ni msichana nina miaka 24, nimuajiriwa sekta binafsi Iringa, Msukuma kwa kabila na ni mkristo ninaemcha Mungu sana. Nahitaji mwanaume umri kuanzia 27-32 awe mkristo, mpentekoste atapatakipaumbele zaidi.

Aliepo tayari karibu PM.

Kama haupo serious please usijisumbue kabisa na kupoteza mda wako.
Msukuma unaitwa Aika????
 
Lazima awe mkristo mpendekoste ,, Je akiwa mkristo roman, Anglikana, kkkt, etc hafai???
 
we mcha Mungu mbona kanisani wapo wengi..? kuliko kutafutiza huku kwa wasiojulikana,..!!!!
sina hakika kwamba haujawahi kumwona mwanaume na ukavutiwa naye, kinachoku cost ni uoga wa kufunguka, mwisho wa siku unaamua kuingia mtandaoni ukidhani kwamba ndio kutakupa confidence ya kuji express....,

Be free, kupenda sio dhambi, chek chek huko kanisani kwako au kazini au mtaani, huku ukiomba ipo siku utakutana tu na atakayekufaa.

Ni ushauri tu
All the best
Atakutana side mnyamwezi
 
Back
Top Bottom