Looming risks as Kenya, Tanzania debt levels on the rise

Alikuwa huko akimshughulikia, vipi njaa imeisha?, nimesikia report ya UN jana, 5.5M people in Kenya wanakabiliwa na njaa kali, vipi ni kweli?
 
Alikuwa huko akimshughulikia, vipi njaa imeisha?, nimesikia report ya UN jana, 5.5M people in Kenya wanakabiliwa na njaa kali, vipi ni kweli?
kitambo ndugu...Mola ametubariki na mvua ila bado tunawasaidia omba omba toka Tanzania angalau pia wale hata kama ni mara moja kwa siku... ujirani mwema
 
Alikuwa huko akimshughulikia, vipi njaa imeisha?, nimesikia report ya UN jana, 5.5M people in Kenya wanakabiliwa na njaa kali, vipi ni kweli?
tunaelewa hali halisi LDC inabidi tuwasaidie omba omba waliofurika mjini
 
kitambo ndugu...Mola ametubariki na mvua ila bado tunawasaidia omba omba toka Tanzania angalau pia wale hata kama ni mara moja kwa siku... ujirani mwema
Mbona unapingana na ripoti ya dunia inayosema wakenya milioni 5.5 wanakabiliwa na njaa kutokana na ukame wa muda mrefu na serikali kuelekeza nguvu nyingi kwenye suala la uchaguzi, report hiyo wametoa jana
 
Ndiyo sababu ninawasiwasi na akili yako, ombaomba ni mtu anayestahili msaada kutoka kwa mtu au nchi yeyote ile, sasa unajisifia nini kwa kusaidia ombaomba ambao wengi ni disabled?, ningeshangaa kama mngewasaidia watu wazima kama vile Tanzania inavyoisaidia Kenya mahindi na vyakula vingine
 
Mbona unapingana na ripoti ya dunia inayosema wakenya milioni 5.5 wanakabiliwa na njaa kutokana na ukame wa muda mrefu na serikali kuelekeza nguvu nyingi kwenye suala la uchaguzi, report hiyo wametoa jana
wazungu si unawajua tu...ndio hawa hao hao UN katika uwezo wao...
 
afadhali omba omba wetu hawapeleki aibu ng'ambo wale tanzanian ni omba omba professional wa kimataifa

A Tanzanian man, his wife, and the street beggars they were arrested in Embu
 
mnatuuzia mahindi nasi tunawauzia maziwa,margarine,tyres na kadhalika... nani anaumia??
 
Yes wanazungumza ukweli, ila hiyo haina madhara yoyote katika maisha ya mwananchi wa kawaida kama ana uhakika wa chakula la kulala sehemu nzuri, kwa sababu inasemekana Kenya identities are
1)Tribalism
2)Corruption
3)insecurity
4)Hunger
5)poverty
 
Tanzanian identities:
1.LDC
2.Uvivu
3.Ushamba
4. Omba omba
5. Opposition hawana uhuru...wanafinywa makend.e kila kunapokucha..
6. Udikteta uchwara
 
mnatuuzia mahindi nasi tunawauzia maziwa,margarine,tyres na kadhalika... nani anaumia??
Weee, acha kukufuru mungu wewe, na umasikini wa 43% mtaweza kununua mahindi nyinyi kweli, sisi mahindi tunawapa msaada kam mliopokea toka China juzi juzi, ila bidhaa zenu tunanunua kwa pesa taslim kama tulivyonunua ndege na tunajenga reli kwa pesa taslim
 
nasi tunawaapa omba omba wa kimataifa toka Tandale na Manzese msaada... tafta kikombe nawe pia uje ndugu...usikate tamaa ya maisha bro
 
Huwa mnajua kuropoka tu hata takwimu hamna
Unajua Deni la nchi ya kenya wewe!
Unaingiza Siasa kwenye mambo yasiyo hitaji Siasa Ficha upumbavu wako
Nakupendeaga hapa hapa jamaa hunachakuremba
 
Tanzanian identities:
1.LDC
2.Uvivu
3.Ushamba
4. Omba omba
5. Opposition hawana uhuru...wanafinywa makend.e kila kunapokucha..
6. Udikteta uchwara
Vyote hivyo ulivyosema bado havimfanyi mtanzania ashindwe kupata chakula cha kila siku, wala kulala kwenye mabanda ya nguruwe, kiukweli nguruwe wa Tanzania analala sehemu nzuri kuliko wakenya wengi
 
Vyote hivyo ulivyosema bado havimfanyi mtanzania ashindwe kupata chakula cha kila siku, wala kulala kwenye mabanda ya nguruwe, kiukweli nguruwe wa Tanzania analala sehemu nzuri kuliko wakenya wengi
asante kwa hasira na povu la Omo kafue sasa umejaza beseni
 
asante kwa hasira na povu la Omo kafue sasa umejaza beseni
Zuwena amekuchanganya sio?, ninajua huo ndiyo ugonjwa wa wakenya wengi wakikutana na dada zetu lazima mkae tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
tunaelewa hali halisi LDC inabidi tuwasaidie omba omba waliofurika mjini
haka ka thematic map unakokatumia kila mara, hujui kuwa kanaonesha jinsi gani shule yako ilivyo duni??
umeona Congo Brazaville na Zimbabwe ziko kundi moja na Botswana?? is that the case?? tumia akili japo kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…