Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
Mombasa raha...umemshauri babako lakini?Swali rahisi kuliko ukabila lakini mumeushindwa?, kwani dady yako alisharudi toka Mombasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mombasa raha...umemshauri babako lakini?Swali rahisi kuliko ukabila lakini mumeushindwa?, kwani dady yako alisharudi toka Mombasa?
kitambo ndugu...Mola ametubariki na mvua ila bado tunawasaidia omba omba toka Tanzania angalau pia wale hata kama ni mara moja kwa siku...Alikuwa huko akimshughulikia, vipi njaa imeisha?, nimesikia report ya UN jana, 5.5M people in Kenya wanakabiliwa na njaa kali, vipi ni kweli?
tunaelewa hali halisi LDCAlikuwa huko akimshughulikia, vipi njaa imeisha?, nimesikia report ya UN jana, 5.5M people in Kenya wanakabiliwa na njaa kali, vipi ni kweli?
kitambo ndugu...Mola ametubariki na mvua ila bado tunawasaidia omba omba toka Tanzania angalau pia wale hata kama ni mara moja kwa siku...![]()
ujirani mwema![]()
![]()
![]()
wazungu si unawajua tu...ndio hawa hao hao UN katika uwezo wao...Mbona unapingana na ripoti ya dunia inayosema wakenya milioni 5.5 wanakabiliwa na njaa kutokana na ukame wa muda mrefu na serikali kuelekeza nguvu nyingi kwenye suala la uchaguzi, report hiyo wametoa jana
afadhali omba omba wetu hawapeleki aibu ng'amboNdiyo sababu ninawasiwasi na akili yako, ombaomba ni mtu anayestahili msaada kutoka kwa mtu au nchi yeyote ile, sasa unajisifia nini kwa kusaidia ombaomba ambao wengi ni disabled?, ningeshangaa kama mngewasaidia watu wazima kama vile Tanzania inavyoisaidia Kenya mahindi na vyakula vingine
mnatuuzia mahindi nasi tunawauzia maziwa,margarine,tyres na kadhalika...Ndiyo sababu ninawasiwasi na akili yako, ombaomba ni mtu anayestahili msaada kutoka kwa mtu au nchi yeyote ile, sasa unajisifia nini kwa kusaidia ombaomba ambao wengi ni disabled?, ningeshangaa kama mngewasaidia watu wazima kama vile Tanzania inavyoisaidia Kenya mahindi na vyakula vingine
Tanzanian identities:Yes wanazungumza ukweli, ila hiyo haina madhara yoyote katika maisha ya mwananchi wa kawaida kama ana uhakika wa chakula la kulala sehemu nzuri, kwa sababu inasemekana Kenya identities are
1)Tribalism
2)Corruption
3)insecurity
4)Hunger
5)poverty
Weee, acha kukufuru mungu wewe, na umasikini wa 43% mtaweza kununua mahindi nyinyi kweli, sisi mahindi tunawapa msaada kam mliopokea toka China juzi juzi, ila bidhaa zenu tunanunua kwa pesa taslim kama tulivyonunua ndege na tunajenga reli kwa pesa taslimmnatuuzia mahindi nasi tunawauzia maziwa,margarine,tyres na kadhalika...![]()
![]()
nani anaumia??![]()
![]()
![]()
nasi tunawaapa omba omba wa kimataifa toka Tandale na Manzese msaada...Weee, acha kukufuru mungu wewe, na umasikini wa 43% mtaweza kununua mahindi nyinyi kweli, sisi mahindi tunawapa msaada kam mliopokea toka China juzi juzi, ila bidhaa zenu tunanunua kwa pesa taslim kama tulivyonunua ndege na tunajenga reli kwa pesa taslim
Nakupendeaga hapa hapa jamaa hunachakurembaHuwa mnajua kuropoka tu hata takwimu hamna
Unajua Deni la nchi ya kenya wewe!
Unaingiza Siasa kwenye mambo yasiyo hitaji Siasa Ficha upumbavu wako
Vyote hivyo ulivyosema bado havimfanyi mtanzania ashindwe kupata chakula cha kila siku, wala kulala kwenye mabanda ya nguruwe, kiukweli nguruwe wa Tanzania analala sehemu nzuri kuliko wakenya wengiTanzanian identities:
1.LDC
2.Uvivu
3.Ushamba
4. Omba omba
5. Opposition hawana uhuru...wanafinywa makend.e kila kunapokucha..![]()
![]()
6. Udikteta uchwara
![]()
![]()
![]()
dada nimekupenda ila huwa unanilenga sana🙁🙁🙁yaani uko mrembo sana...heri ufiche ID yako ili nisipandwe na tamaa nyingiNakupendeaga hapa hapa jamaa hunachakuremba
asante kwa hasira na povu la OmoVyote hivyo ulivyosema bado havimfanyi mtanzania ashindwe kupata chakula cha kila siku, wala kulala kwenye mabanda ya nguruwe, kiukweli nguruwe wa Tanzania analala sehemu nzuri kuliko wakenya wengi
Zuwena amekuchanganya sio?, ninajua huo ndiyo ugonjwa wa wakenya wengi wakikutana na dada zetu lazima mkae tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]asante kwa hasira na povu la Omo
kafue sasa umejaza beseni![]()
![]()
![]()
![]()
hapo siwezi nikakudanganya...madem wenu nawatamani sana...ni waremboZuwena amekuchanganya sio?, ninajua huo ndiyo ugonjwa wa wakenya wengi wakikutana na dada zetu lazima mkae tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
haka ka thematic map unakokatumia kila mara, hujui kuwa kanaonesha jinsi gani shule yako ilivyo duni??tunaelewa hali halisi LDC
inabidi tuwasaidie omba omba waliofurika mjini![]()
![]()
![]()
![]()