Looming risks as Kenya, Tanzania debt levels on the rise

Looming risks as Kenya, Tanzania debt levels on the rise

hapo siwezi nikakudanganya...madem wenu nawatamani sana...ni warembo
Meanwhile warembo wenu majambazi wa kimataifa.
74f0a37d679b510a04f587e33e305ab6.jpg
 
jikite kwenye hoja, deni letu la nje na la ndani ilanongezeka na linaongezeka kwa sababu ya matumizi yaliyojuu zaidi ya mapato, kenya wenzetu base ya uzalishwaji na wingi wa viwanda unawabeba sisi tunabebwa na hotuba na vyeti
Umefuatilia budget deficit ya tz ni % ngapi na ya kenya ni % ngapi?
 
Back
Top Bottom