Nina mda kama wa wki2 tangu nifunge pingu za maisha na mke wangu kipenz,tuliahidiana kutokufanya mapenz hadi tutakapo oana na wote tulifanya hvyo,chakushangaza cku ya kwanza kufanya nae mapenzi ckuona damu kutoka kama watu wanavyosema ila baada ya kumalza tendo kama masaa ma 3 au ma 4 badae dam ilianza kutoka.Nilipo muulza anasema hata yy anashangaa na sio dam kama ile ya period.JAMBO HILI LINAWEZEKANA AU AMENIDANGANYA HAKUWA NA BIKR.USHAURI TAFADHALI