Lord Eyes afunguka na kusema Weusi ni wabinafsi.

Nawamiss N2N. River camp walifanya kuleta muungano ili kulidhoofisha N2N.

Trust me, katika muunganiko wa Joh,G nako na Nikki wa pili....siku ikitokea G Nako akaachana nao basi sio tu kundi kuanguka bali pia ndio kupotea kwa Joh Makini.
 
Moja wapo ya sifa inayofanya wimbo kua hit song ni kupata air time radioni na pia watu wengi kuujua huo wimbo, kama hivyo vitu havipo maana yake hakuna hit song kwaio huo wimbo wa ngware haukua hit song labda ulikua ni wimbo mzuri ambao hauku hit...
Asante kwa kurekebisha
 
wewe vipi mbona umevimba macho hivyo? unataka kujamba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu daah,..
Unapata wapi kauli km hii..
Ah ah ah mbav zng
 
Nawamiss N2N. River camp walifanya kuleta muungano ili kulidhoofisha N2N.

Trust me, katika muunganiko wa Joh,G nako na Nikki wa pili....siku ikitokea G Nako akaachana nao basi sio tu kundi kuanguka bali pia ndio kupotea kwa Joh Makini.
Akili kama hizi ndio hupoteza wasanii wengi sana kwenye makundi. Msanii anadhani bila mimi hili kundi sio chochote. Kwa bahati nzuri weusi sidhani kama wana hii mentality. Wameona kila mtu ana nafasi yake kwenye kundi

Joh, G nako na nikki wa pili kila mtu alitambulika kwenye Game kwa uwezo wake binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…