Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unachekesha sanaNawamiss N2N. River camp walifanya kuleta muungano ili kulidhoofisha N2N.
Trust me, katika muunganiko wa Joh,G nako na Nikki wa pili....siku ikitokea G Nako akaachana nao basi sio tu kundi kuanguka bali pia ndio kupotea kwa Joh Makini.
Asante kwa kurekebishaMoja wapo ya sifa inayofanya wimbo kua hit song ni kupata air time radioni na pia watu wengi kuujua huo wimbo, kama hivyo vitu havipo maana yake hakuna hit song kwaio huo wimbo wa ngware haukua hit song labda ulikua ni wimbo mzuri ambao hauku hit...
Nashkuru kama umecheka maana itakuwa umeongeza siku za kuishi.Unachekesha sana
wewe vipi mbona umevimba macho hivyo? unataka kujamba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu daah,..wewe vipi mbona umevimba macho hivyo? unataka kujamba
True chalii Unajua 'mashabiki' maandazi huwa ni vifuata upepo.Ma slomoo hawaelewagi, sema sijawahi kuisikia bado ngware kwenye radio haikupata air time wakati ni hit song na watu wengi hawaijui
Akili kama hizi ndio hupoteza wasanii wengi sana kwenye makundi. Msanii anadhani bila mimi hili kundi sio chochote. Kwa bahati nzuri weusi sidhani kama wana hii mentality. Wameona kila mtu ana nafasi yake kwenye kundiNawamiss N2N. River camp walifanya kuleta muungano ili kulidhoofisha N2N.
Trust me, katika muunganiko wa Joh,G nako na Nikki wa pili....siku ikitokea G Nako akaachana nao basi sio tu kundi kuanguka bali pia ndio kupotea kwa Joh Makini.