Lord eyes arudi upya

pombe kali

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
282
Reaction score
561
Tuwasaidie vijana wetu kusimama upya tusiwa tunahukumu na kulamu tu angalia ngoma mpya ya lord eyes.
 
Maisha bwana, Kuna kipindi Lord alikua juu sana, yaani yeye ndio alikua kila kitu Nako 2 Nako, yaani G Nako halikua haonekani, lakini sasa hivi G Nako yupo juu zaidi ya Lord
 
King izz iz Back..
Jamaa bado TZ nzima ndo anaflow ya hiphop real
 
Unga bangi pombe na uchafu ote ..
Maisha bwana, Kuna kipindi Lord alikua juu sana, yaani yeye ndio alikua kila kitu Nako 2 Nako, yaani G Nako halikua haonekani, lakini sasa hivi G Nako yupo juu zaidi ya Lord
 
Mleta mada, hili neno vijana usilitusitumie vibaya.
 
Nangalia juu mawinguni namwona yesu,
Najiuliza mwanakwetu,
We ndo mchuzi wangu,
Ahhhh! We ndo mchizi waaaaaangu,
Lord eyez noma sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…