pombe kali
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 282
- 561
Tuwasaidie vijana wetu kusimama upya tusiwa tunahukumu na kulamu tu angalia ngoma mpya ya lord eyes.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna anayemfikia chid mpaka kesho wwKing izz iz Back..
Jamaa bado TZ nzima ndo anaflow ya hiphop real
Nakataa...Hakuna anayemfikia chid mpaka kesho ww
Maisha bwana, Kuna kipindi Lord alikua juu sana, yaani yeye ndio alikua kila kitu Nako 2 Nako, yaani G Nako halikua haonekani, lakini sasa hivi G Nako yupo juu zaidi ya Lord
Tuwasaidie vijana wetu kusimama upya tusiwa tunahukumu na kulamu tu angalia ngoma mpya ya lord eyes.
Mbona polepole ni kijanaMleta mada, hili neno vijana usilitusitumie vibaya.