Lord Eyez akamatwa kwa kuiba spea za gari la Ommy Dimpoz

Lord Eyez akamatwa kwa kuiba spea za gari la Ommy Dimpoz

Duh chaliii wa R mbona unatuangusha?na poz aliloweka laonyesha kuna ukwel kanyweaaaaaa!
chalii etu amekujaa kuwa mbululaa aseee...ila materii noma ndo zilikuwa zake chugaaa
 
Yaani imekaa full kubambwa kasoro kichapo sikioni dalili zake wangemtia ma contour and red texture apendeze kidogo!
 
Wasanii wa hip hop Kuna muda walikua hawajitambui kabisa Yani, Bora hata siku izi, joh making,g nako, lord eyes walikua wanaishi ghetto changanyikeni miaka Hio ya 2012, maisha ya kingeto gheto ile kabisa yanii, kuna jamaa yangu alikua anataka collabo na g nako, imagine dogo ndo Kila siku anakuja mchukua msanii mkubwa na gari kumpeleka studio, what a shame



Maisha club kipindi icho usiombe ukutane na chid benz, ukijifanya tu unamjua umekwisha, utapigwa mzinga na haondoki mpaka umpe, kina fid q mitaa ya mikocheni tumekula nao gomba sana tena ya kuchangishana(donation)


Kuna bar nilikua nakunywa sana mitaa na sinza Kila siku nilikua nakutana na lord eyes na joh, aisee mizinga mpaka nilihama bar, demu wa joh anakuambia joh mkitoka out hata kama ana milion 2 ataipiga kiberiti mpaka iishe, Bora siku izi naona wamejifunza ila kipindi icho walikua wanatia aibu
 
Unga huo..hawa wasanii wakishafulia ukiwaona unatoa machozi..nimemuona Nurueli siku moja aisee unatoa machozi kabisa nafikiri amekuwa chizi.
Baadhi ya wasànii hawajui jinsi ya kuilinda na kuiendeleza brand yao. Wakishaona wametoka wao wanakuwa wapiga mizinga, matapeli, na kudharau hata watu wengine. Huwa wanawaona producers na directors kama ni wanafunzi. Huwadharau na kuwatusi shabiki zao. Hudhulumu pesa za wasanii chipukizi.
 
Back
Top Bottom