Wasanii wa hip hop Kuna muda walikua hawajitambui kabisa Yani, Bora hata siku izi, joh making,g nako, lord eyes walikua wanaishi ghetto changanyikeni miaka Hio ya 2012, maisha ya kingeto gheto ile kabisa yanii, kuna jamaa yangu alikua anataka collabo na g nako, imagine dogo ndo Kila siku anakuja mchukua msanii mkubwa na gari kumpeleka studio, what a shame
Maisha club kipindi icho usiombe ukutane na chid benz, ukijifanya tu unamjua umekwisha, utapigwa mzinga na haondoki mpaka umpe, kina fid q mitaa ya mikocheni tumekula nao gomba sana tena ya kuchangishana(donation)
Kuna bar nilikua nakunywa sana mitaa na sinza Kila siku nilikua nakutana na lord eyes na joh, aisee mizinga mpaka nilihama bar, demu wa joh anakuambia joh mkitoka out hata kama ana milion 2 ataipiga kiberiti mpaka iishe, Bora siku izi naona wamejifunza ila kipindi icho walikua wanatia aibu