QALLI MIZOH
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 2,075
- 698
Mbona wanazunguka naye kwenye showz?
Kuacha poda ni maamuzi ya mtu mwenyewe
Nimemuona huyu jamaa mitaa ya Sinza makaburini leo, it's been a looong time, kakonda, kadhoofika sana , hali mbaya sanaaa, unga umemchukua, hajiweZi , hali ni mbaya sana, na muda huo namuona anaelekea makaburini kuvuta vidude, najua hajapenda ila ni janga alilojitakia mwenyewe, hali mbaya
Nikki msaidie Lord Eyez,mbona Ibra Da Hustler yupo Rehab? Chid Benz naye kabaki fuvu nimemuona kwenye video ya blue pesa yani blue ana mwili mkubwa kuliko Chid Benz,unga kweli ni nyo.ko,Chibu Dangote msaidie ndugu yenu chid.
kipindi cha katkat apa alivo kua kmya alikua rehab so kaacha[/QUOTE
Mbona unarahisisha mambo Kiboya boya tu, yani unadhani kwenda rehab ndo kuacha? Kuwa kimya kunahusiana nini na kuacha? Unadhani tena akienda rehab tu ndo manaake kaacha, tumia akili kucomment, unga unaachwa pale mhusika anapokuwa na nadhiri kali sana ya kuacha na rehab ndipo inakuwa na maana.
Pale bado hajawa emaciated enough mkuu,kwa experience yangu to quit drugs inabidi uwe na guts+something that make u fear to return back(hasa Mungu) la sivyo huwezi kuacha moja kwa moja utapumzika tu utarudi,i do drugs for 3 years i went rehab once na haikunisaidia ila siku nilipoamua from inside kuquit nq kumrudia Mungu ndo nikaweza kuquit
NB: Hakuna starehe yenye raha duniani kama madawa(cocaine+heroine are the best) so its easy to start hard to quit

Easy wa wazii...sijui nini.......wanasema tunavuta poda,hatuna ajira...majembe ya kaskazini.
ama kwel mteja ni shoga wa pili sasa ndo starehe gan ile ikikuingia kwenye damu unasahau mpk usafi
wasanii hawapendani kwanin wenzake wa Gmf Kina joh makin wasifyt kumtoa huko?? madawa kuacha ni.ngumu inatakiwa nguvu ya ziada sasa wamemuacha mwenzao hawampelek.rehabs alafu wanapga show tu