Lord Eyez

Lord Eyez

dah "mnako lod iz" kapotea sana. hakupaswa kuwa ivo.
 
Nimemuona huyu jamaa mitaa ya Sinza makaburini leo, it's been a looong time, kakonda, kadhoofika sana , hali mbaya sanaaa, unga umemchukua, hajiweZi , hali ni mbaya sana, na muda huo namuona anaelekea makaburini kuvuta vidude, najua hajapenda ila ni janga alilojitakia mwenyewe, hali mbaya

Rei sii tunakutegemea katika hili pliiiiiz
 
Nikki msaidie Lord Eyez,mbona Ibra Da Hustler yupo Rehab? Chid Benz naye kabaki fuvu nimemuona kwenye video ya blue pesa yani blue ana mwili mkubwa kuliko Chid Benz,unga kweli ni nyo.ko,Chibu Dangote msaidie ndugu yenu chid.

Pale bado hajawa emaciated enough mkuu,kwa experience yangu to quit drugs inabidi uwe na guts+something that make u fear to return back(hasa Mungu) la sivyo huwezi kuacha moja kwa moja utapumzika tu utarudi,i do drugs for 3 years i went rehab once na haikunisaidia ila siku nilipoamua from inside kuquit nq kumrudia Mungu ndo nikaweza kuquit

NB: Hakuna starehe yenye raha duniani kama madawa(cocaine+heroine are the best) so its easy to start hard to quit
 
kipindi cha katkat apa alivo kua kmya alikua rehab so kaacha[/QUOTE

Mbona unarahisisha mambo Kiboya boya tu, yani unadhani kwenda rehab ndo kuacha? Kuwa kimya kunahusiana nini na kuacha? Unadhani tena akienda rehab tu ndo manaake kaacha, tumia akili kucomment, unga unaachwa pale mhusika anapokuwa na nadhiri kali sana ya kuacha na rehab ndipo inakuwa na maana.
 
hahaha nimejibu simpo umejibu kwa kupanick bro zen sio lazma uamini maneno yangu so nguvu ulioyotumia kuita mchango wangu uboya tumia kujua ukweli
 
Pale bado hajawa emaciated enough mkuu,kwa experience yangu to quit drugs inabidi uwe na guts+something that make u fear to return back(hasa Mungu) la sivyo huwezi kuacha moja kwa moja utapumzika tu utarudi,i do drugs for 3 years i went rehab once na haikunisaidia ila siku nilipoamua from inside kuquit nq kumrudia Mungu ndo nikaweza kuquit

NB: Hakuna starehe yenye raha duniani kama madawa(cocaine+heroine are the best) so its easy to start hard to quit

Pole sana mkuu kipindi we ulipokuwa unabembea Chonji ye yupo ndani ya Pardo anaelekea barafaa kula kuku
 
kwani mama ushauri haja mchukua mume wake wakale dose wote (rayc)
 
Pale bado hajawa emaciated enough mkuu,kwa experience yangu to quit drugs inabidi uwe na guts+something that make u fear to return back(hasa Mungu) la sivyo huwezi kuacha moja kwa moja utapumzika tu utarudi,i do drugs for 3 years i went rehab once na haikunisaidia ila siku nilipoamua from inside kuquit nq kumrudia Mungu ndo nikaweza kuquit

NB: Hakuna starehe yenye raha duniani kama madawa(cocaine+heroine are the best) so its easy to start hard to quit

Anzisha thread ya majanga ya hayo madude ili tujue
 
Easy wa wazii...sijui nini.......wanasema tunavuta poda,hatuna ajira...majembe ya kaskazini.
 
ama kwel mteja ni shoga wa pili sasa ndo starehe gan ile ikikuingia kwenye damu unasahau mpk usafi
 
kwani we starehe gani ya kuingia chumvini...tena papuchii hujui ina yutiai,fagasi au laah,starehe hazifanani mkuu
 
wasanii hawapendani kwanin wenzake wa Gmf Kina joh makin wasifyt kumtoa huko?? madawa kuacha ni.ngumu inatakiwa nguvu ya ziada sasa wamemuacha mwenzao hawampelek.rehabs alafu wanapga show tu

mkuu haya mambo c rahisi kama unavyowaza ata kama wakimfungia ndan atafanya kila njia
 
Back
Top Bottom