Lorraine Marriot ni nani?

Lorraine Marriot ni nani?

Nnahisi utakuwa umekosea maana huyu Miss hata miaka 23 kama sikosei hajafika so ukiongelea 2008 enzi hizo atakuwa alikuwa high school kama sikosei

Dooh! Basi kweli siye.. Kweli duniani wawili wawili!

Huyu ameishi wapi kwa Dar?! Na amefanya biashara gani? Au alivyotoka masomoni ndio kaingia kwenye ulimbwende moja kwa moja?

Halafu, huyu ndiye yule aliyekuwa anapeleka kadi za VIP kwa mapedeshee waliolipia kuhudhuria shindano la Miss Universe last month? Au yule ni yupi?

Msinichoke!
 
Nimecheki Youtube kutafuta baadhi ya Clips zake yeye kama yeye nimeikosa. Nimekuta Clips zinazoonyesha contestants wa Miss Universe 2015, na nimeshangaa kuona kati ya warembo wote ni yeye pekee zimewekwa picha zake tu badala ya footages kama wenzie..

Ninachojiuliza; Ina maana hakuandaliwa vya kutosha? Mbona wenzake ukitafuta data zao unazipata in abundance?!

Waratibu waliangalia hilo. Linaweza kumnyima ushindi!

Mkuu ila ninachoona kwako ni kama una roho ya kwa nini kwa binti huyu.
Hivi kweli unawajua watanzania wote milioni 45? Au unataka kupeleka posa? Au unajenga fitna mkuu? Acha hizo. Mrembo huyu nimem google na kuona aliwakilisha Tanzania mwaka jana Miss Grand International.
https://m.facebook.com/MISSGRANDTANZANIA/

Sasa kwa nini unasema hakuna data?
Hiyo ya kunyimwa ushindi eti hajulikani unafikiri hao wengine wanajulikana mkuu? Kwi kwi kwi
 
Anafanya kazi as a pilot au ana ndoto za kuwa pilot?!

Zzzzzzz!

Unajua huyu binti namfananisha na msichana fulani hivi alikuwa mchepuko wa brother wangu miaka ya 2008, ndio maana nauliza maswali mengi nijue kama ni yeye au laaa.

Ninayemjua mimi hakuwa na jina hilo, lakini nakumbuka alisomea pale UDSM na kupata kazi Shirika moja hivi linahusiana na masuala ya Nishati Mbadala (Alternate Energy).

Enzi hizo bro anaishi Mbezi ya Kimara...

Ndo uyo uyo shemeji wako mdogo wangu nasubiri arudi ili nirudishe majeshi teh tehe tehe
 
Nnahisi utakuwa umekosea maana huyu Miss hata miaka 23 kama sikosei hajafika so ukiongelea 2008 enzi hizo atakuwa alikuwa high school kama sikosei

Huwa hawataji miaka yaukweli rejea ya sitti
 
nimekula sana huu mzigo kwa kusaidiwa na maria sarungi
 
nimekula sana huu mzigo kwa kusaidiwa na maria sarungi

Haki ya mungu we bado ni bikira. Naamini hujawahi kuiona nyapu tangu uzaliwe. Watu Kama nyinyi ndio zenu kusingizia mboro zenu
 
Celebrity Mpya huyo but wenye hela zao washamwandalia "azimio LA kazi"
 
Hivi hiki kitu kinachoitwa u-miss kina-aleji na rangi nyeusi ( mana kila miss lazima atakuwa kaitelekeza rangi yake)
 
Back
Top Bottom