Naomba kutoa malalamiko juu ya jambo hili kwani sisi watumiaji wa maji yanayosambazwa nanyi hatuna uhakika wa usalama kwa afya zetu kwani maji ni machafu sana. Ukichota bombani yanatoka na udongo
Taarifa zimeshafika ofisini kwao siku nyingi chief! Tatizo ni utatuzi wa tatizo tajwa! Labda kupitia humu jamii forums ninaamini watakuwepo viongozi husika,kiwilaya,kimkoa au hata juu zaidi, wanaosoma ujumbe huu,tunaomba watusaidie kufuatilia pia mkuu.