Huo ni uongo wa kawaida unaosemwa na wakenya, kama tuliweza kupeleka majeshi yetu katika nchi zote ambazo zilikua zinaungwa mkono na wazungu, vipi tushindwe hapo?.
Sisi tulikataa kupeleka majeshi kama walivyofanya Uganda, Burundi na Djibouti, badala yake tulisema tutashiriki kuwafunza POLISI wa Somalia.Kama Burundi, Uganda, Djibouti na Ethiopia walipeleka troops lakini wanaishi kwa amani, kwanini tuogope, this is your time to fight, we fought to many wars, give us a break. Sasa ninyi mliopeleka majeshi yenu kichwa kichwa bila kulima madhara yake, what do you get?
Sent using
Jamii Forums mobile app