Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
I have just come to realize what kind of a hopeless person he is. Hii mikabila ilivyo ndio maana sometimes bora al shabaab wawanyooshe mbwa hawaUngemtumia PM, we mshamba nin?
Wherever Tanzania mentioned I have sensitive interests automatically.
Unajaribu sana kutetea Uhuru kenyatta ila umesahau kwamba UN walisema FACT: KDF wanaiba makaa ya somalia na kuuza..Ma zazwa hawafahamu nini kiliwapeleka huko na kwa malengo yapi
hivi ni kwanini jeshi la tanzania lisiwasaidie hawa wakenya..hawa alshabab watawamaliza...wameshakufa watu almost 500 mpaka sasa.
Put it this way, KDF need to die where the threat is.
Keep hoping that Somalis can become a major trading partners of yours. It's the day time now and we are all awake. By the way, you have no rights whatsoever to call my president a dictator.
una hamu na milio ya mabomu?hivi ni kwanini jeshi la tanzania lisiwasaidie hawa wakenya..hawa alshabab watawamaliza...wameshakufa watu almost 500 mpaka sasa.
Majukumu! Gibberish! You don't even know how it works in politics.Watu wanajitia hamnazo tu, kwasababu ya chuki. FACT: Alshabaab walikuwa wanafanya mashambulizi, na kuvuruga amani Kenya kabla ya KDF kuingia Somalia. FACT: Muda mfupi baada ya KDF kuingia Somalia walijiunga na waafrika wengine, Ethiopia, Uganda, Burundi chini ya 'command' ya AMISOM ambao wapo Somalia kwa maamuzi ya A.U., sio 'mandate' ya Kenya. FACT: Rais Kibaki na PM Raila(sio rais U.Kenyatta), enzi hizo walipoamua kuingiza KDF Somalia uamuzi wao ulipingwa vikali na US na U.K ila waliendelea na mpango huo bila ya support ya nchi za magharibi.
Kwa hivyo ungependa tufanye nini? Tuchinje mbuzi tusherehekee mashambulizi ya Al-shabaab?
Keep hoping that Somalis can become a major trading partners of yours. It's the day time now and we are all awake.
Hahahahahaahahah! 99% you are done. And the 1% have the courage to come in Nairobi and kill people. Watu wanatumia ubungo kufikiri wewe unatumia matakoThey will stop attacking when we crash them. We're 99% done.
unaogopaje alshababu mkuu!!hawa ipo diku watsngiapka kwwtu tusipo wadhibiťi mapema
Watanzania wenyewe wanaloga kila siku alshabab wasiingie kwao.hivi ni kwanini jeshi la tanzania lisiwasaidie hawa wakenya..hawa alshabab watawamaliza...wameshakufa watu almost 500 mpaka sasa.
...and you do? If you knew anything about Kenya you wouldn't wait for me to educate you about this matters, so you can sound wise by default. You would have written a book or something.Majukumu! Gibberish! You don't even know how it works in politics.
Kupigana na wale pangaboy kule DRC si Sawa no Vita vya kigaidi.... We wenyewe mbona usijiulize kwanini kina nchi zaidi ya Tano ziko na majeshi huko Somalia, lakini wanajeshi wa Kenya ndo wana occupy mahali pakubwa zaidi, alafu pia ujiulize kwanini Video za propaganda za alshabaab hua zinataja Kenya Kwa video zao kila siku lakini hazitaji hizo nchi zengine wanasema and other infidels.....Huo ni uongo wa kawaida unaosemwa na wakenya, kama tuliweza kupeleka majeshi yetu katika nchi zote ambazo zilikua zinaungwa mkono na wazungu, vipi tushindwe hapo?.
Sisi tulikataa kupeleka majeshi kama walivyofanya Uganda, Burundi na Djibouti, badala yake tulisema tutashiriki kuwafunza POLISI wa Somalia.Kama Burundi, Uganda, Djibouti na Ethiopia walipeleka troops lakini wanaishi kwa amani, kwanini tuogope, this is your time to fight, we fought to many wars, give us a break. Sasa ninyi mliopeleka majeshi yenu kichwa kichwa bila kulima madhara yake, what do you get?
Sent using Jamii Forums mobile app
Toeni majeshi yenu huko mnataka kula mfupa uliyomshinda mmarekani......Tanzania neighbors DRC, and yet Kenya is doing more business in DRC.
Equity bank is already one of the biggest banks in DRC. We have many insurance agencies, consumer goods companies etc.
Kumaanisha Tanzania is the same old bongolala. You can't do business with your immediate neighbor, and here you are lying to yourself that you will do business with Somalia?
unaogopaje alshababu mkuu!!hawa ipo diku watsngiapka kwwtu tusipo wadhibiťi mapema
Hahahahaha! He is a citizen like myself.Hehehe. Tundu Lissu begs to disagree.
Also, tell your dictator to return the 10,000 innocent Kenyan chicken he burnt. And the 1300 cows he stole from Kenya's maasai.
Ako na tabia za kitoto kama Idi Amin.
Na sijui anatetea hiyo move ya Government ya Kenya kwa Lipi?? I guess kwa vile sio hawara wake aliiuwawa ndio maana.Unajaribu sana kutetea Uhuru kenyatta ila umesahau kwamba UN walisema FACT: KDF wanaiba makaa ya somalia na kuuza..Ma zazwa hawafahamu nini kiliwapeleka huko na kwa malengo yapi
Very technical analysis.If you had half a brain, you would be able to remember a time in Kenya, about 8 years ago, when Nairobi had a grenade attack every 3 days.
It is because of neutralizing Al Shabaab at their source that terror attacks are now rare and far between.
jifundishe tofauti za kivita mwanzo alafu ndo ufungue mdomo, unafikiri hao alashabb walioanza kupigana kutoka mpaka wa Kenya na wakaua kila mtu Hadi wakafika hapo Nairobi? No! Walivaa nguo za kawaida na kukaa Kenya zaidi ya miezi mitatu kama refugees wa kawaida Tu .....Hahahahaha! He is a citizen like myself.
Burning and taking whatever we did was just showing you that don't mess with us, if only a small country like Somalia is giving you a lot of trouble then do not you ever mess with us