Lotion gani nzuri kwa mwanaume?

Lotion gani nzuri kwa mwanaume?

frenderPH

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2019
Posts
621
Reaction score
817
Wadau habari za Jioni.

Nisiwe na maelezo mengi sana Ningelipenda kufahamu ni Lotion gani nzuri kwa mwanaume ambayo itasaidia afya ya ngozi kuwa imara na kupunguza mabaka vipele na madoa madoa kwenye ngozi?!

PS. Kwa anayejua comment yako itakua msaada mkubwa sana.[emoji1752]
 
NIVEA FOR MEN ILA ATA UKIPAKA VASELINE MAFUTA YALE SIO MBAYA USISAHAU MAFUTA YA NAZI KICHWANI
 
Wadau habari za Jioni.

Nisiwe na maelezo mengi sana Ningelipenda kufahamu ni Lotion gani nzuri kwa mwanaume ambayo itasaidia afya ya ngozi kuwa imara na kupunguza mabaka vipele na madoa madoa kwenye ngozi?!

PS. Kwa anayejua comment yako itakua msaada mkubwa sana.[emoji1752]
Mwanamme lotion ya nini wewe? Tafuta mafuta ya simba.
 
Wadau habari za Jioni.

Nisiwe na maelezo mengi sana Ningelipenda kufahamu ni Lotion gani nzuri kwa mwanaume ambayo itasaidia afya ya ngozi kuwa imara na kupunguza mabaka vipele na madoa madoa kwenye ngozi?!

PS. Kwa anayejua comment yako itakua msaada mkubwa sana.[emoji1752]
Mtafute mkongo yeyote au ben kinyaiya
 
Wengi wanakushauri brand na siyo aina ya lotion.
Kama ngozi yako ni dry, moisturize it na Cocoa butter Lotion. Inaweza kuwa ya aina yeyote lakini Nivea, Vaseline au kwa vizuri zaidi Palmers.
Palmers cocoa butter lotion ni bora zaidi ila itabidi isindikizwe na light cologne (isiwe nyingi au inayonukia sana).
Pia lotion yenye aloe vera, but preferably aloe vera iwe kwenye body wash na cocoa butter kwenye lotion.
 
Wengi hatujui matumiZ ya lotion

Tunatumia hand lotion kupaka uson ndo madhara tunayaona lotion ya uson tumia iliyoandikwa facial lotion
 
Wadau habari za Jioni.

Nisiwe na maelezo mengi sana Ningelipenda kufahamu ni Lotion gani nzuri kwa mwanaume ambayo itasaidia afya ya ngozi kuwa imara na kupunguza mabaka vipele na madoa madoa kwenye ngozi?!

PS. Kwa anayejua comment yako itakua msaada mkubwa sana.[emoji1752]
Mkuu,
Weka pcha ni muhimu Sanaa

NB.
Hatuwezi kukushaur bila kujua aina yako ya ngozi mkuu

Wasalaam
 
Back
Top Bottom