Lotion gani nzuri kwa mwanaume?

Lotion gani nzuri kwa mwanaume?

Wengi wanakushauri brand na siyo aina ya lotion.
Kama ngozi yako ni dry, moisturize it na Cocoa butter Lotion. Inaweza kuwa ya aina yeyote lakini Nivea, Vaseline au kwa vizuri zaidi Palmers.
Palmers cocoa butter lotion ni bora zaidi ila itabidi isindikizwe na light cologne (isiwe nyingi au inayonukia sana).
Pia lotion yenye aloe vera, but preferably aloe vera iwe kwenye body wash na cocoa butter kwenye lotion.
Sorry kiongozi hii palmer Cocoa Butter lotion una apply mpaka usoni?? Haina shida ukitumia usoni?? pia price yake ipoje
 
Back
Top Bottom