Mwanamme lotion ya nini wewe? Tafuta mafuta ya simba.Wadau habari za Jioni.
Nisiwe na maelezo mengi sana Ningelipenda kufahamu ni Lotion gani nzuri kwa mwanaume ambayo itasaidia afya ya ngozi kuwa imara na kupunguza mabaka vipele na madoa madoa kwenye ngozi?!
PS. Kwa anayejua comment yako itakua msaada mkubwa sana.[emoji1752]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana walugaluga wakija mjini ni rahisi sana kuwajua
Wamepauka kama kipande cha muhogo
Halafu wanasema wanabaguliwa wakiingia mahoteli ya kishua wanaokena kama vibaka
Mtafute mkongo yeyote au ben kinyaiyaWadau habari za Jioni.
Nisiwe na maelezo mengi sana Ningelipenda kufahamu ni Lotion gani nzuri kwa mwanaume ambayo itasaidia afya ya ngozi kuwa imara na kupunguza mabaka vipele na madoa madoa kwenye ngozi?!
PS. Kwa anayejua comment yako itakua msaada mkubwa sana.[emoji1752]
Baby hujawahi nishauri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu,Wadau habari za Jioni.
Nisiwe na maelezo mengi sana Ningelipenda kufahamu ni Lotion gani nzuri kwa mwanaume ambayo itasaidia afya ya ngozi kuwa imara na kupunguza mabaka vipele na madoa madoa kwenye ngozi?!
PS. Kwa anayejua comment yako itakua msaada mkubwa sana.[emoji1752]
Mungu anakuona. Amekua na vyuma kwaniGrisi