Lotions za wadada bei kati ya 5,000 - 20,000

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
hello warembo na watanashati,

Ni lotions gani za wadada ambazo ni maarufu ila hajizapigwa marufuku, sio fake na ni nzuri kwa viwango vyake, zenye bei ya kati 5,000-20,000.

Sio vibaya ukinitajia jina la lotion na bei yake unayo/uliowahi kununulia.

thanks.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rinju
Kuna 15k -12k (hapa inategema na duka na pia kuna za 20,000 na 25,000

Palmers cocoa butter (napenda inavyonukia) bei kopo dogo 11k kubwa 17k...ila hizi bei ni za Arusha nina uhakika Dar zitakuwa chini kidogo

Nb. Hizo zinafanya unakuwa na kangozi laini tu. Kuhusu mikorogo, I know nothing
 
Mkizijua na za kiume nzuri mniambie natoka sana vipele usoni sikuizi
 
N.nnj
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia kuna Veerox ya Almond ni nzuri ila wanajaza sanaa kiasi cha kwamba inafikia stage unachoka kupaka kitu kimoja muda mrefu.

Niliendaga nayo chuo, nikatumia semester nzima ya miezi minne na home nikarudi nayo.
 
Ahsante mkuu, kwa ushirikiano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia kuna Veerox ya Almond ni nzuri ila wanajaza sanaa kiasi cha kwamba inafikia stage unachoka kupaka kitu kimoja muda mrefu.

Niliendaga nayo chuo, nikatumia semester nzima ya miezi minne na home nikarudi nayo.
kukusumbua tena mkuu Depal, ni lotions zipi tena (tofauti na ulizo zitaja) ambazo unazisikia kwa marafiki na kwa traders mara kwa mara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Palmers is lit. It has been my favorite for years now.

Nikikosa hela napaka Rinju nyeupe ile nyingine imenishinda harufu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…