Lotions za wadada bei kati ya 5,000 - 20,000

Lotions za wadada bei kati ya 5,000 - 20,000

Razac
Rubi
Rinju
Bei yake inarange Kati ya 10000-15000tzs kwa makopo makubwa.
Makopo madogo 5000-6000tzs.

Hizi ni lotion nzuri nilizowahi kutumia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawaka waka kwenye jua Kali, kama upo Dar ni full kusweat tu
Mmh sina uhakika km huwa inawaka ila jasho huwa natoka normal tu sema kuna siku nikiikamua pua naona mafuta kabsa
 
Queen Elizabeth
Rinju kopo jeupe
Elgance ya alovera
Rubee
Revlon {japo ya zamani}
Razac
Crez cream (haina na hazina viambata sumu sumu)
 
Back
Top Bottom