Kabaridi
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 2,022
- 534
Kichuguu,
..nadhani tatizo ni kesi inayowakabili Uhuru na Ruto.
..kesi hiyo ndiyo inayofanya mahusiano yao na mataifa ya nje yawe complicated kidogo.
..ila mataifa ya magharibi yakiona interest zao zinakuwa affected basi wanaweza "kuibinya" ICC ili kesi hiyo imalizike haraka na Uhuru na Ruto wasipatikane na hatia.
NB:
..Wakenya walionywa na Koffi Annan, lakini kutokana na tabia na kiburi chao cha KIKABILA wakapuuza ushauri huo.
cc: Nyani Ngabu, Kabaridi, @Ab-Tichaz
Eti JokaKuu, hawa marais OBAMA na BUSH wakiwa marekani wanatofautiana, ila hapa afrika tena TZ bara minus wazenji wanaogea na kula kwenye round table moja. There is more than what meets the eye.
Licha ya hayo, Nadhani wakenya walizungumza tena kwa sauti kupitia uchaguzi wa machi 4. Mwaka wa 2007/08 machafuko ya kisiasa yaliingia kenya. Kwa Wakenya kumdeny Odinga urais, they were communicating in way. Too Bad If OBAMA and the US interests cannot read the language kenyans are talking.