Loud silence from Kenya High Commision as Kenya's 1st lady skips meeting


Eti JokaKuu, hawa marais OBAMA na BUSH wakiwa marekani wanatofautiana, ila hapa afrika tena TZ bara minus wazenji wanaogea na kula kwenye round table moja. There is more than what meets the eye.

Licha ya hayo, Nadhani wakenya walizungumza tena kwa sauti kupitia uchaguzi wa machi 4. Mwaka wa 2007/08 machafuko ya kisiasa yaliingia kenya. Kwa Wakenya kumdeny Odinga urais, they were communicating in way. Too Bad If OBAMA and the US interests cannot read the language kenyans are talking.
 

Kwetu sisi wakenya ICC sio jambo dogo. Hasa katika swala la amani..the ICC does not regard peaceful co-existence between ethnic tribes in kenya. Siasa kawaida huvuta emotions nyingi and all this ICC wamegundua na wanafanya to the advantage ya nchi ya marekani...hakuna mashtaka hapo ya kujadiliwa
...Kama uchaguzi wa machi 4, Itachukua hisia kali za mkenya mwenyewe kupooza na kuumaliza ICC.

Hata hivyo Kenya na TZ zilikuwepo kabla ya OBAMA na ICC, na vilvile, yatabaki tu hivyo...Hivi miaka za arobaini marekani haikuzi kologa vietnam, na kugawanyisha colombia na panama, si yapo tu...bado mataifa hayo na yanaeneza ukomunisti kama kale.. ni nn imebadilika baada ya marekai kuyakologa???
 
Inawauma kama vile umeachwa na mpenzi uliyempenda hadi kumoyo lol

Hata hivyo, maisha bado itaendelea. It's only the weak that keep moaning about being dumped.

Kenyan businessman Mwangi of Equity Bank is said to have attended the meeting of prominent African bisinesspeople with Obama !!!

Prove it, or it never happened. Hearsay is not a fact. Keep trying.


During Uhuru Kenyatta's Presidential inauguration, he clearly stated that there should be mutual respect between countries. The age of one acting like an overlord while the other is seen merely as a subject is long gone in Kenya's diplomatic circle. You'd be in remiss to think that the current government would send any senior official to that shindig just to placate them. I'm sure the Americans would have been surprised if that had happened. Kenyans have already moved on.
FYI, no sitting US president has ever set foot in Kenya since independence, but that hasn't stopped Kenya from being what it is today in East, Central & Horn of Africa. Take a minute to digest that.
 
As a matter of policy I do not engage with people suffering from verbal diarhoea.or is it acquired intelligence deficiency? syndrome?

Choices have consequences!
How in the world do you expect the potus to meet with a criminal?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…