Loud speaker ilinifanya nijue fundi anatoka na jirani yangu

Eti unadhani nimemuelewa huyo mwamba mwenye comment namba 15 πŸ˜‚πŸ˜‚
Amemaanisha unakaa uswahilini hivyo hama nenda ushuani
Tafuta hela ujenge nyumba yako na sio upange na watu wengi kwenye nyumba moja

Hivyo ndivyo nilivyomuelewa
 
Amemaanisha unakaa uswahilini hivyo hama nenda ushuani
Tafuta hela ujenge nyumba yako na sio upange na watu wengi kwenye nyumba moja

Hivyo ndivyo nilivyomuelewa
Mwambie tangu nipo kwa wazazi nilikuwa naishi ushuani

Hata now npo ushuani mumy
 
Na wengine wanakera wanaongea upuuzi mtupu

Just imagine watu wamekosa haya wanaweka loud katika daladala fc them
Mashankupe ya uswazi ndiyo zao. Likiwa na danga lake, akipiga simu na yeye yuko na shoga zake ni lazima aweke loud speaker ili wenzake wasikilize. Pia kuna kundi la la vikoba la kina mama fulani nawajua, wana hii tabia. Mume wa mmoja wao akipiga simu ni lazima anaweka loud ili wenzake wasikilize. Siku moja nilisikia wanasikiza mume wa mmoja wao anapiga simu kuulizia mbona amechelewa kurudi nyumbani. Akamjibu kuwa kuna foleni ya kufa mtu kumbe wamekaa sehemu wanakunywa. Baada ya kukata simu wakaangua kicheko wote.
 
Wapuuzi sana
 
Mkuu umeongea kweli kabosa aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…