Louisiana: Serikali yaamuru amri kumi za Mungu kubandikwa madarasani Marekani

Louisiana: Serikali yaamuru amri kumi za Mungu kubandikwa madarasani Marekani

Siyo muhubiri mimi so sizijui hizo kanuni lakini kikawaida tu kanuni ya kwanza ya kusema chochote kwenye hadhira iliyojaa watu msiofungamana itikadi ni kuheshimu vile ulivyowakuta navyo eg mawazo imani mitazamo .

Na hiki kitu kwa wahubiri wengi wa kilokole hawana.
Unajua maana ya freedom of worship?
 
Taifa la marekani msingi wake ni amri 10 za Mungu. Ndo maana ya In God we trust
 
As for me walokole huwa hawahubiri neno la Mungu wanachofanya wao ni kuwashambulia wasiokuwa wenzao.

Kusimama mbele ya hadhira ya watu wenye imani tofauti tofauti na kuanza kuwatukania imani zao ambazo wewe hujawahi kuzisoma kwa undani huku ya kwako hawajawahi kuigusa siyo jambo jema.
Ukiona mtu anakuhukumu au kukusema kuhusu dhambi yako mshukuru maana anakupa habari ya kuepuka moto wa Jehanum. Iwapo hatumii neno la Mungu au hekima ya neno la Mungu hapo ndio kuna changamoto. Siyo wewe ni mdhambi au mzinzi halafu useme walokole wanakuponda. Kimsingi wanamponda shetani anayekufanya ufanye dhambi. Geuka.
 
Hizo amri kumi za Mungu ni kama wanazirudisha. Zilikuwepo Zamani ktk mashule
 
Back
Top Bottom