Louisiana: Serikali yaamuru amri kumi za Mungu kubandikwa madarasani Marekani

Unajua maana ya freedom of worship?
 
Taifa la marekani msingi wake ni amri 10 za Mungu. Ndo maana ya In God we trust
 
Taifa la marekani msingi wake ni amri 10 za Mungu. Ndo maana ya In God we trust
Bora waanze kurudi kwenye misingi ya Mungu, maana ukengeufu umekuwa mkubwa sana
 
Ukiona mtu anakuhukumu au kukusema kuhusu dhambi yako mshukuru maana anakupa habari ya kuepuka moto wa Jehanum. Iwapo hatumii neno la Mungu au hekima ya neno la Mungu hapo ndio kuna changamoto. Siyo wewe ni mdhambi au mzinzi halafu useme walokole wanakuponda. Kimsingi wanamponda shetani anayekufanya ufanye dhambi. Geuka.
 
Hizo amri kumi za Mungu ni kama wanazirudisha. Zilikuwepo Zamani ktk mashule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…