MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Dears I hope all of us are ready to party for the coming sikukuus. Tunamwomba MUNGU atujalie tufike salama maana duh......ni rehema zake tu tutazisherehekea.
Kuna kitu kimekuwa kikinitatiza siku nyingi ambacho nimekuwa sikielewi...... the relationship between LOVE and TRUTH. Nilikuwa naamini kuwa unapompenda mwenzi wako si lazima kuwa utakuwa truthfull kwake kwa kila kitu. Kuna vitu ambavyo utajikuta unalazimika kuvificha au kusema ndivyo sivyo ili tu kulilinda penzi lenu- especially vile ambavyo ulivifanya zamani kabla hamjakutana.
Lakini kwa wengi nimejikuta hawaamini katika hilo so naomba wanajamvi mnisaidie.
Natanguliza shukrani zangu
Naamini kuwa kuna tofauti sababu kuna wale ambao kupenda kwao ni kwa kutamani so he/she wont give a damn about being true to you
Uongo ndiyo huleta penzi na ndiyo hulinda penzi. just make sure mwenza wako hataujua uongo huo kupitia other sources.......
:A S new:Dears I hope all of us are ready to party for the coming sikukuus. Tunamwomba MUNGU atujalie tufike salama maana duh......ni rehema zake tu tutazisherehekea.
Kuna kitu kimekuwa kikinitatiza siku nyingi ambacho nimekuwa sikielewi...... the relationship between LOVE and TRUTH. Nilikuwa naamini kuwa unapompenda mwenzi wako si lazima kuwa utakuwa truthfull kwake kwa kila kitu. Kuna vitu ambavyo utajikuta unalazimika kuvificha au kusema ndivyo sivyo ili tu kulilinda penzi lenu- especially vile ambavyo ulivifanya zamani kabla hamjakutana.
Lakini kwa wengi nimejikuta hawaamini katika hilo so naomba wanajamvi mnisaidie.
Natanguliza shukrani zangu
simpo chauro... u just PMhahaaa nimefurahi sababu sijawai kuPM sasa ngoja nimuombe MJI au ACID anisaidia unafanyaje
simpo chauro... u just PM
Mjukuu ni kweli some people will refer lile kosa mtu analokuwa ametenda pindi wanapogombana lakini je hiding the truth from your loved one is it worth it?I agree with you sweetheart but there is a situation when the true love do exist....but you just have to hide something to save the present joy....... nlikuwa natizama movie moja where a man was once an armed robber and a lady a call girl......... a man decided not to tell but the lady decided to tell......it just ended right there.......but something similar happened to a very close friend of mine and bahati mbaya alipotell, mwenzi wake alilichukulia kama SI Unit....kila akikosea anarefer
Cousin u just nailed it:A S new:
MJ1
Hujajibu swali langu, lakini yote kheri
Binafsi naamini truth ni opposite ya lies.. and whatever happened int eh past is history so if one tell me or ask me about the past i may chose what to say, and whatever i say will be the true history, hapo ina maana niko true
Now coming back to another one, honest, honest ni hapo unapotakiwa either ku-validate yaliyopo au yaliyopita... na hapo ndio balaa, sometimes wengi hulinda penzi kwa kusema ambacho hakitamuumiza mwenza... is that lying or cheating? i dont know
what if I emply my closet and share all my past? will i be true to you?? will that also mean i love more than the one keeping a few skeletons in teh closet?
this thread is really something:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
whatw ere you thinking MJ1?