C'mon grandie, now you know me well.
Babu anakuambia na kukushauri kajukuu, be honest in your love life. Kwa mfano, mwambie mpenzi wako wa sasa yote uliyoyafanya na mpenzi aliyepita. Alivokuwa anakurusha, sababu ya kuachana naye nk nk nk...kama hatakuelewa, apotezee zake. Kama atakuelewa na kuvumilia, hapo ndipo utamu wa mapenzi unapokuja. Kibaya ni pale unapomficha afu aje asikie kwa watu, ajue na yote uliyokuwa wayafanya kwenye sita kwa sita ilhali yeye hujamfanyia..... utaachwa wakati ndio unaanza kupenda na hatari yake ni kubwa zaidi.
Babu anarudi kitandani.