LOVE and TRUTH...................................

LOVE and TRUTH...................................

Depends na kilichofichwa.......kama unachoficha kina madhara kwa mahusiano ya sasa, hupaswi kufanya hivyo......
NAKUBALIANA NA WEWE BABU YANGU....As long as hakina madhara na mahusiano yako ya sasa.
 
ni kweli Babu hajawahi ficha.................but pia hajawahi sema.

C'mon grandie, now you know me well.

Babu anakuambia na kukushauri kajukuu, be honest in your love life. Kwa mfano, mwambie mpenzi wako wa sasa yote uliyoyafanya na mpenzi aliyepita. Alivokuwa anakurusha, sababu ya kuachana naye nk nk nk...kama hatakuelewa, apotezee zake. Kama atakuelewa na kuvumilia, hapo ndipo utamu wa mapenzi unapokuja. Kibaya ni pale unapomficha afu aje asikie kwa watu, ajue na yote uliyokuwa wayafanya kwenye sita kwa sita ilhali yeye hujamfanyia..... utaachwa wakati ndio unaanza kupenda na hatari yake ni kubwa zaidi.

Babu anarudi kitandani.
 
Dears I hope all of us are ready to party for the coming sikukuus. Tunamwomba MUNGU atujalie tufike salama maana duh......ni rehema zake tu tutazisherehekea.

Kuna kitu kimekuwa kikinitatiza siku nyingi ambacho nimekuwa sikielewi...... the relationship between LOVE and HONESTY. Nilikuwa naamini kuwa unapompenda mwenzi wako si lazima kuwa utakuwa honesty kwake kwa kila kitu. Kuna vitu ambavyo utajikuta unalazimika kuvificha au kusema ndivyo sivyo ili tu kulilinda penzi lenu- especially vile ambavyo ulivifanya zamani kabla hamjakutana.

Lakini kwa wengi nimejikuta hawaamini katika hilo so naomba wanajamvi mnisaidie.

Natanguliza shukrani zangu

mwanajamiione,
there is this saying wazungu wanasema ''TRUTH TAKES TIME''.mimi sio mzuri sana kwenye readings lakini niliwahi kusoma ''kwa bahati mbaya'' kajitabu fulani,again nikaangalia series moja ya JENNIFER GARNER inaitwa ''ALIAS'',i came to realise kwamba LOVE ITAANZA ITASHAMIRI THEN TRUTH/HONEST to follow.na kwenye hii stage ya ''kupashana ukweli'' probably is the most painful season kwenye hii kitu ya mapenzi.

mara nyingi mkishaelezana ukweli kuhusu ninyi hapo ndipo watu huamua KUSUKA AU KUNYOA
 
C'mon grandie, now you know me well.

Babu anakuambia na kukushauri kajukuu, be honest in your love life. Kwa mfano, mwambie mpenzi wako wa sasa yote uliyoyafanya na mpenzi aliyepita. Alivokuwa anakurusha, sababu ya kuachana naye nk nk nk...kama hatakuelewa, apotezee zake. Kama atakuelewa na kuvumilia, hapo ndipo utamu wa mapenzi unapokuja. Kibaya ni pale unapomficha afu aje asikie kwa watu, ajue na yote uliyokuwa wayafanya kwenye sita kwa sita ilhali yeye hujamfanyia..... utaachwa wakati ndio unaanza kupenda na hatari yake ni kubwa zaidi.

Babu anarudi kitandani.

Ninakuelewa kabisa Babu, mjukuu wako sina tatizo na hilo. Na ninaamini kabisa ukiwa muwazi na mwenzio akakuelewa na bado akastick na wewe ndipo raha yake.........balaa aamue kuendelea na wewe lakini kitu kidogo akumbushia, kidogo tu utasikia ...sishangai si ulishawahi huko nyuma e.t.c

Nakumbuka kuna mtu mmoja alinisimulia kuwa alishawahimsimulia mume wake juu ya siri yake aliyokuwa nayo tangu shule (aliwah kumshuhudia babake akimegana na ndugu wa mamake)......... katika mapillow talk si akamsimulia mwenzi wake!! Saa ngapi walipogombana jamaa si akaitoa kwenye kikao cha usuluhisho ? eti............ sina imani na mke wangu especially akisema anakujamsalimia babake kwani nahisi ana mahusiano na babake kwa vile ilishawahitokea.....nikawaza saa nyingine si vema kushare kila kitu eh??
 
Hapa umenena sisy...mie lilinikuta sipati kukwambia....nilijitia kumwambia mwenzi siri kuu ya familia ambayo hata wadogo zangu hawakuwa wakiifahamu only to happen that siku tumeombana akalimwaga mbele yao pwaaahhhhhhhh mbona nlitamani kuingia uvunguni mwa kabati acha tu

MJ1 Umenichekesha mwe! jamani mapenzi haya
 
[/SIZE][/B]

MJ1 Umenichekesha mwe! jamani mapenzi haya
Maty yasikie tu kwa mwenzio.... bahati yangu haikuwa jambo kuuuubwa kihivyo mbona ningeumbuka binti wa kike mie!!
 
Maty yasikie tu kwa mwenzio.... bahati yangu haikuwa jambo kuuuubwa kihivyo mbona ningeumbuka binti wa kike mie!!

dearest usione nimekaa kimya yaani nina mifano zaidi ya kumi tena inayonihusu mimi mwenyewe acha ya kuhadithiwa nikiunganisha naona itajaa hapa, nilikua mkweli na muwazi kwa kila kitu kwa mwenzi, yaliyonikuta baada ya kamtafaruku do salaleeeeeeeeee (hii kitu inaitwa mapenzi acha kabisa)
bora nikae kimya na kuangalia wapwaz wanavyojifurahisha hapa na mimi panapofurahisha nikenue niongeze siku za kuishi mwe
 
sorry to take you back guys... hivi truth na honest zinaweza kutumika interchangeably?
 
Back
Top Bottom